Watoto watelimishwa haki zao, hasa kwa kupitia mradi wa Sara watoto wa Shirika la Unicef . Pia wataburudishwa na michezo ya kuigiza na sarakasi. Jukwaa la wanawake: Wanawake pia wataleta umuhimu la uatamaduni na maendeleo katika jamii na wataandaa warsha na mazugumzo kuhusu maisha ya mwanamke katika dunia la wasanii. Jukwaa la vijiji: Tamasha hii ni itaonesha filamu, mchezo za kuigiza, burudani la musiki na kadhalika. Muandishi |