Miongoni mwa mada zitakazojadiliwa ni namna gani vyombo vya habari vinaweza khaasisha wanawake na kuelimisha jamii juu ya masula ya kijinsia bila ya kuleta kutoelewana kati ya akina baba na na akina mama. Wanawake pia watapatiwa taaluma, ijapokuwa kwa muhtasari ju ya utengenezaji wa filamu. Mgeni rasmi katika kongomano hili ni mtengenzaji filamu wa ethiopia ambaye hivi sasa ni Profesa Mwanadamizi, Salem Mekuria ambaye ataonyesha filamu yake iitwayo Sidet aliyoitengeneza mwaka 1991 na Ye Won Maibel ya mwaka/ Deluge ya mwaka 1997. Pia atakuwepo mmoja wa wasanii nyota wa India Shabana Azmi. Huyu ni muigizaji sinema, mbunge na mpigania haki za wanawake . Muandishi |